TPHPA YAITIKIA KWA VITENDO MAAGIZO YA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
TPHPA YAITIKIA KWA VITENDO MAAGIZO YA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TPHPA Prof. Andrew Temu akipokea tuzo kutoka Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa sambamba na Mkurugenzi Mkuu wa TPHPA Prof. Joseph Ndunguru kwa kuibuka Mshindi wa Tuzo katika kundi la Taasisi zisizo za kibiashara zilizofanya mageuzi makubwa kiuendeshaji na kupelekea kutoa Gawio la la 3,793,835,192.30/= Juni 11, 2024 Ikulu Jijini Dar es Salaam.