Meneja wa kanda ya Nyanda za Juu Kusini Bi Christina Mbwambo akikabidhi viuatilifu vya ruzuku kwa Bi Janeth Bisoma Afisa kilimo wa kata ya Iwindi Wilaya ya Mbeya Vijijini.
Mtaalamu wa TPHPA akieleza kuhusu namna ya kutumia kiuatilifu kudhibiti nondo wa matunda kwenye Parachichi.
Wataalamu wa TPHPA wakigawa viuatilifu vya ruzuku kwa wakulima wa kata ya Iwindi Wilaya ya Mbeya Vijijini
Mtaalamu wa TPHPA akiwafundisha wakulima wa kata ya Iwindi Wilaya ya Mbeya Vijijini namna ya kutumia "Felix Machine" kupima ukomavu wa parachichi.
Picha ya pamoja kati ya wataalamu wa TPHPA na wakulima wa kata ya Iwindi Wilaya wa Mbeya Vijijini baada ya kupatiwa Viuatilifu vya Ruzuku