06 Mar, 2025
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), Prof. Joseph Ndunguru, amefungua kikao cha tatu cha baraza la wafanyakazi wa TPHPA Jijini Mbeya
Asubuhi ya Machi 4, 2025, katika Hoteli ya Eden Highlands Mkoani Mbeya, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na V...