Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania

lbl_iso_certified

Dira na Dhamira

Maono

Kuwa kitovu cha ubora katika kutoa huduma za afya ya mimea  kinachoongoza kwenye ushindani kimataifa katika udhibiti wa visumbufu na viuatilifu.

Dhamira

Kutoa udhibiti bora wa afya ya mimea na viuatilifu kwa ajili ya kuwezesha biashara ya mimea na bidhaa za mimea Kitaifa na Kimataifa.