Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania

lbl_iso_certified

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WADAU WA AFYA YA MIMEA NA VIUATILIFU TANZANIA 21 JUNI, 2024

21 Jun, 2024
07:30:00 - 16:00:00
Makao Makuu ya TPHPA yaliopo Ngaramtoni Jijini Arusha
Remigius Mchunguzi, 0759-768778

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WADAU WA AFYA YA MIMEA NA VIUATILIFU.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) Prof. Joseph Ndunguru anawaalika Wadau wote wa Afya ya Mimea na Viuatilifu katika Mkutano wa Mwaka utakaofanyika tarehe 21 Juni, 2024 kuanzia saa 1:30 Asubui katika Ukumbi wa Mamlaka uliopo Ngaramatoni Jijini.

Ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Kuwa Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe

Kaulimbiu ya Mkutano huu ni Afya ya Mimea na Viuatilifu Bora kwa uzalishaji wenye tija na masoko ya mazao

Kuthibitisha Ushiriki wako piga simu namba  0759 768 778

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WADAU WA AFYA YA MIMEA NA VIUATILIFU TANZANIA 21 JUNI, 2024