Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Afya ya Mimea
Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Afya ya Mimea
10 May, 2024 - 12 May, 2024
08:30:00 - 17:30:00
Jijini Arusha katika Viwanja vya Makumbusho ya Azimio la Arusha
Remigius Mchunguzi, 0759-768778
AFYA YA MIMEA, BIASHARA SALAMA NA TEKINOLOJIA ZA KIDIJITI.
Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) anawakaribisha watu wote kwenye maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Afya ya mimea yatakayofanyika katika viwanja vya makumbusho ya azimio la Arusha, Maadhimisho haya yataambatana na maonesho ya bidhaa mbalimbali zitokanazo na kilimo pia maonesho ya bidhaa mbalimbali za pembejeo mbalimbali za kilimo.
Maonesho haya yataanza tarehe 10 Mei na kilele chake kitakuwa tarehe 12 Mei, 2024 ambapo mgeni rasmi atakuwa Katibu Mkuu Wizara ya Bwana Gerald Mweli.
kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Bwana Remigius Mchunguzi kwa simu namba 0759-76877