Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania

lbl_iso_certified

MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA AFYA YA MIMEA

10 May, 2026 - 12 May, 2026
08:30:00 - 17:30:00
Jijini Arusha katika Viwanja vya Makumbusho ya Azimio la Arusha
Remigius Mchunguzi, 0759-768778 au Janeth Makue, 0693223875

 

"USALAMA WA MIMEA KWA USALAMA WA CHAKULA"

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Afya na Viuatilifu vya Mimea Tanzania (TPHPA) anawakaribisha watu wote katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Afya ya Mimea yatakayofanyika katika viwanja vya makumbusho ya azimio la Arusha. Maadhimisho haya yataambatana na maonesho ya mazao mbalimbali ya kilimo pamoja na maonesho ya bidhaa mbalimbali za pembejeo mbalimbali za kilimo. Maonyesho haya yataanza Mei 10 na kilele chake kitakuwa Mei 12, 2026 ambapo mgeni rasmi atakuwa Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb). Kwa maelezo zaidi wasiliana na Bwana Remigius Mchunguzi kwa simu namba 0759-768778 au Janeth Makua, 0693223875

 

MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA AFYA YA MIMEA