Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania

lbl_iso_certified

KUANZA KUTUMIKA KWA MFUMO WA FORODHA WA TANCIS KWA MAMLAKA YA AFYA YA MIMEA NA VIUATILIFU IFIKAPO TAREHE 12 NOVEMBA, 2026

06 Nov, 2026 Pakua

Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) inapenda kuwajulisha Wadau wote kuwa kuanzia tarehe 12 Novemba, 2026 itaanza kutumia mfumo wa Forodha wa TANCIS (Tanzania Customs Integrated System) katika shughuli zake za forodha zinazohusiana na Afya ya Mimea na Viuatilifu.